Ni sehemu mojawapo ya kuweza kupata mafundisho mbali mbali ya neno la Mungu yatakayoweza kukujenga na kukuza kiroho, huku ukipata habari zinazohusu huduma hii.
Monday, June 9, 2008
KUFUNGULIWA
Mwl.Tuntufye akiwa katika huduma ya kufunguliwa na kuwekwa huru
HAYA NI MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU IKIWA NI PAMOJA NA PICHA ZA HUDUMA MBALI MBALI.
Karibu katika blog hii ambayo itakukutanisha na mafundisho ya Neno la Mungu, huku ukipata shuhuda za watu mbali mbali waliopokea uponyaji kupitia huduma hii.
Pia itakusaidia kujua namna ya kupata vitabu mbalimbali vinavyotolewa na mwl Tuntufye A. Mwakyembe.